Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Aprili, 2016
Video fupi ikionesha maandamano tokea Nashera Hotel mkoani Morogoro,Nakuingia katika uwanja was Jamhuri mkoani hapo.Maandamano ayo yalikuwa ni kwaajili ya Maadhimisho ya Siku 61 ya Wazazi.Maadhimisho hayo yalifikia Kilele katika Mkoa wa Morogoro.