Hukumu yatoka kwa polisi 11 Toka Afghanistan.......
Kwa
mara ya kwanza Mahakama nchini Afghanistan imewahukumu polisi 11 kwenda
jela mwaka mmoja kwa kushindwa kumlinda mwanamke ambaye aliuwawa na
kundi la watu mjini Kabul kwa kuhusishwa kwa makosa kwa kukufuru. Watu
wanne pia kuhukumiwa adhabu ya kifo na wengine wanane wakahukumiwa
kifungo cha miaka 16 jela mapema mwezi huu kwa mauaji ya mwanamke huyo
Farkhunda mwenye umri wa miaka 27. Unasemaje kuhusu hukumu hiyo?

Maoni