CCM kumpta Msemaji mkuu was Chama....
Chama cha Mapinduzi kumpta msemaji mkuu was Chama hicho, ndugu Lusendeka, Baada ya aliyekuwa msemaji mkuu wa Chama, Mh e.Nape Nnauye kuteuliwa na Raisi wa Jamhul ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, John Pombe Magufuli kuwa Wazili wa Habali,Utamaduni,Wasanii na Michezo.


Maoni