Mashabiki we Enjoy sana Club Bil......
usiku wa March 20, 2016 ambapo wakali kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva waliungana kwa pamoja kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki waliohudhuria katika ukumbi wa Club Bilz.miongoni mwa wasanii walionogesha stage akiwemo Roma Mkatoliki, Abdul Kiba, Mo Music, Ali Kiba, Dayna Nyange na wengineo.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye tukio hilo






Maoni