Ndinga Mpya ya ShishiBaby.....Asema bye bye MarkX
Msanii wa Music hapa nchini Tanzania,kupitia ukurasa wake was Instagram Ali share nasi kama mashabiki wake na kutuonesha Ndinga Mpya anayo imiliki sasa.
Shilole kwa sasa akitamba na Ngoma yake Mpya ya Nyan'gan'ga
Shilole kwa sasa akitamba na Ngoma yake Mpya ya Nyan'gan'ga

Maoni