Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Juni, 2018

Harmonize Ft Diamond Platnumz - Kwangwaru (Official Music Video) hectazfj.blogspot.com hectazTV

Picha

Juma Nature - Nadhani (OFFICIAL)

Picha

Juma Nature - Nadhani (OFFICIAL)

Picha

MATUKIO KATIKA PICHA YANGA WALIVYOANZA MAZOEZI KENYA TAYARI KWA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP

Picha
  Na Joseph Oima, Nakuru Kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi yake ya kwanza kabla ya mechi yao ya kwanza ya michuano ya SportPesa Super Cup, keshokutwa. Yanga imefanya mazoezi yake ya kwanza mjini Nakuru nchini Kenya, tayari kwa kazi ya keshokutwa dhidi ya Homeboyz.   Yanga iliwasili mjini hapa jana ikitokea jijini Dar es Salaam tayari kushiriki michuano hiyo itakayoshirikisha timu nane, nne zikiwa kutoka Tanzania na nne za hapa Kenya.

MATUKIO KATIKA PICHA SIMBA WALIVYO TAYARI KWA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP

Picha
  Na Joseph Oima, Nakuru Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wameanza mazoezi mjini hapa. Simba wako hapa kwa ajili ya michuano ya SportPesa Super Cup na wataanza kazi Jumatatu kwa kuwavaa Sharks. Simba wamewasili hapa jana wakiwa ndiyo timu ya kwanza ya Tanzania kutua Kenya kwa ajili ya michuano hiyo. Mwaka jana ilifanyika Tanzania na Gor Mahia wakaibuka mabingwa huku timu za Kenya zikikutana katika fainali.