MATUKIO KATIKA PICHA YANGA WALIVYOANZA MAZOEZI KENYA TAYARI KWA MICHUANO YA SPORTPESA SUPER CUP

 
Na Joseph Oima, Nakuru
Kikosi cha Yanga kimeanza mazoezi yake ya kwanza kabla ya mechi yao ya kwanza ya michuano ya SportPesa Super Cup, keshokutwa.
Yanga imefanya mazoezi yake ya kwanza mjini Nakuru nchini Kenya, tayari kwa kazi ya keshokutwa dhidi ya Homeboyz.
 
Yanga iliwasili mjini hapa jana ikitokea jijini Dar es Salaam tayari kushiriki michuano hiyo itakayoshirikisha timu nane, nne zikiwa kutoka Tanzania na nne za hapa Kenya.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Miamala ya Benk na Simu,Imezaa matunda.

Matangazo ya vyakula mitandaoni huponza watoto