KAULI YA TUNDU LISSU KUHUSU DK. SLAA KUGOMBEA URAIS UKAWA LAPINGWA Moja ya vyama shiriki katika Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), NCCR-Mageuzi kimepinga kauli iliyotolewa njini Moshi na Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara kwamba Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dk Willibrod Slaa ndiye atakayekuwa mgombea urais kupitia UKAWA. Mkuu wa Idara ya Kampeni na Uchaguzi wa NCCR-Mageuzi, Faustine Sungura amesema kuwa ni makosa kudhani kwamba CHADEMA n ... See More