Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Mei, 2021

MZIGO MPYA TOKA @frank_nashine

Picha
Tembelea Page yetu ya Instagram @frank_nashine @frank_nashine

Rais Samia Suluhu awateua wakuu wapya wa mikoa Tanzania, huku baadhi wakistaafu

Picha
Rais Samia Suluhu awateua wakuu wapya wa mikoa Tanzania, huku baadhi wakistaafu 15 Mei 2021 CHANZO CHA PICHA, SAMIA SULUHU/TWITTER Maelezo ya picha, Katika mabadiliko aliyoyafanya kwa wakuu wa mikoa Tanzania kuna sura ngeni katika ngazi hii ya uongoz Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan leo amefanya mabadiliko ya Wakuu wa mikoa, huku wengi wao wakihamishiwa katika mikoa mipya na wengine wakistaafu utumishi wa umma. Taarifa ya uteuzi wa wakuu hao wa taasisi pamoja na wakuu wa mikoa ulioanza leo Jumamosi Mei 15, 2021 imetolewa leo na mkurugenzi wa mawasiliano ya rais Ikulu, Gerson Msigwa, ikieleza kuwa wataapishwa Mei 18, 2021 Ikulu, jijini Dar es Salaam. Hatahivyo, Rais Samia ameingiza sura chache mpya katika ngazi hiyo ya utawala, akiwemo aliyekuwa mgombea wa kiti cha urais kutoka upinzani Queen Sendiga na Amos Makalla ambaye anarejea tena uongozini baada ya miaka mingi. Wengi miongoni mwa wale walioachwa nje ya orodha ndefu ya watu 45 ni 10 na wanasemekana kuwa wamefikisha umri wa kus...

FRANK_NASHINE CARDET KWA BEI POA

Picha

KUFUNGWA KWA KAMPENI ZA CCM UCHAGUZI WA MARUDIO BUHIGWE.

UTEUZI WA WAKUU WA MIKOA NA MAKATIBU.

Picha

Ufundi

https://www.instagram.com/p/CO7KZ6phXfZ/?igshid=1uin5b220dmxk

TANZANIA YETU.

MAONO YA MWONAMBALI. Nchini Tanzania haswa upende wa Serikali za Mitaa,tunatambua kila baada ya miaka 5 kunachaguzi zinafanyika.Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo tunachagua Wenyeviti wa Vitongoji,Wenyeviti wa vijiji/mitaa na uchaguzi Mkuu wa  Madiwani,Wabunge pamoja na Uchaguzi wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika chaguzi hizi ,wote Hawa uchaguliwa na Wananchi katika maeneo yao. Mwenyekiti wa Kitongoji-Ambaye anachaguliwa na Wananchi wa Kitongoji husika. Mwenyekiti wa Kijiji/Mtaa -atachaguliwa na Wananchi wake kupitia chama alichopendekezwa. Madiwani -Uchaguliwa na Wananchi katika kata husika kupitia chama alichopendekezwa. Wabunge -Pia uchaguliwa na Wananchi katika Jimbo husika. Raisi-Atachaguliwa na Wananchi ndani ya nchi. Katika makundi yote hayo matano ambayo wanapewa dhamana na Wananchi.Timu ya wenyeviti wa vijiji , Vitongoji na Mitaa wamesahaurika kwa namna ifuatayo:-. 1-Madiwani wanaposho na wakimaliza muda wao wa kutumikia wananchi wanalipwa chochote Kitu....