Machapisho

Inaonyesha machapisho kuanzia Machi, 2016

Habali MotoMotoo katika Magazeti ya March 22 2016

Picha
March 22 2016  naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenye Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye , Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook,Twitter na Instagram @hectaz_tz

Mhr. John Pombe Magufuli asema Machache baada Mhe.Dr Shein Kuchaguliwa kwa Raisi Wa Zanzibar........

Picha
Kama ulipata taarifa za matokeo ya urais Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli yalimfikia pia,  nakukaribisha kuzisoma sentensi Mbili za Rais Magufuli baada ya kupokea matokeo hayo….. ‘>>> Nakupongeza  kwa dhati Rais Mteule Dkt. Ali Mohamed Shein kwa ushindi ulioupata, ushindi ambao umeonesha kuwa wananchi wa Zanzibar bado wanahitaji uwaongoze kwa kipindi kingine cha miaka mitano ‘ >>>’ Ndugu zangu wa Zanzibar uchaguzi umekwisha, kilichobaki sasa ni kushirikiana na serikali yenu kuijenga Zanzibar na ninaamini mnao wakati mzuri wa kuijenga Zanzibar yenye maendeleo chini ya uongozi wa Dkt. Ali Mohamed Shein ‘

Ndinga Mpya ya ShishiBaby.....Asema bye bye MarkX

Picha
Msanii wa Music hapa nchini Tanzania,kupitia ukurasa wake was Instagram Ali share nasi kama mashabiki wake na kutuonesha Ndinga Mpya anayo imiliki sasa. Shilole kwa sasa akitamba na Ngoma yake Mpya ya Nyan'gan'ga

Pata vichwa vya Magazeti Leo 20th March 2016

Picha
Magazeti ya Leo Tarehe 20

Mashabiki we Enjoy sana Club Bil......

Picha
usiku wa   March 20, 2016   ambapo  wakali kutoka kwenye tasnia ya Bongo Fleva waliungana kwa pamoja kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki waliohudhuria katika ukumbi wa  Club Bilz .miongoni mwa wasanii walionogesha stage akiwemo  Roma Mkatoliki, Abdul Kiba, Mo Music, Ali Kiba, Dayna Nyange   na wengineo. Hizi ni baadhi ya  picha   kutoka kwenye tukio hilo

CCM kumpta Msemaji mkuu was Chama....

Picha
Chama cha Mapinduzi kumpta msemaji mkuu was Chama hicho, ndugu Lusendeka,  Baada ya aliyekuwa msemaji mkuu wa Chama, Mh e.Nape Nnauye kuteuliwa na Raisi wa Jamhul ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, John Pombe Magufuli kuwa Wazili wa Habali,Utamaduni,Wasanii na Michezo.